Moto umezuka katika Hostel ya Mabibo na kusababisha hali ya taharuki. Hostel hii inamilikiwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Jengo lililoshika moto lilikuwa linalotumiwa na baadhi wanafunzi wa kike wa Chuo hicho
Harakati za kuokoa kilichosalimika
JAMII YAHIMIZWA KUZINGATIA MATUMIZI SAHIHI YA DAWA
14 minutes ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako