Thursday 5 March 2015

MVUA YA MAAFA SHINYANGA

Mwananchi huko Kahama Shinyanga akiwa amebeba bonge la barafu lililofanyika kutokana na mvua ya mawe ya barafu ilonyesha mkoani hapo na kuleta maafa makubwa. Pole kwa wafiwa wote, tunawaombea majeruhi wapatenafuu na wote walioathirika na maafa hayo wapate nafuu ya maisha baada ya maafa hayo

No comments:

Post a Comment

Maoni yako