Wednesday 11 March 2015

MHE. ZITTO KABWE AVULIWA UANACHAMA-CHADEMA

Baada ya Mahakama Kuu Tanzania kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali kesi iliyokuwa imefunguliwa na Zito Kabwe dhidi ya Chama Cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) ya kuhoji uhalali wa uanachama wake ndani ya chama hicho…
Habari zilizotufikia zinaeleza kuwa Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Tundu Lissu ametangaza kuvuliwa rasmi uanachama wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe.

Akitangaza hatua hiyo ya kumvua uanachama,Lissu amesema kanuni na sharia za chama hicho ziko wazi na zinaelekeza kuwa endapo mwanachama yeyote atakishtaki chama hicho mahakamani na iwapo atashindwa atakuwa amejiondoa mwenyewe kwenye chama
Mnadhimu wa Chadema Mhe. Tundu Lissu aliyetangazwa kuachishwa uanachana kwa Mhe.Zitto Kabwe

No comments:

Post a Comment

Maoni yako