Friday 13 March 2015

HAPANA CHEZEA HISABATI

Picha hizi zanikumbusha sana mwanzo wa kuanza kujifunza kuhesabu unapoingia Darasa la kwanza kipindi hicho. Bila "visude" (Vizibo vya chupa ya soda au ya bila) au wakati mwingine njiti, hesabu ilikuwa haipandi. Hapa siongelei ulimwengu wa sasa wa wale wanafunzi kizazi cha dot.com. Picha hii inawagusa hasa wale ambao wamezaliwa na kukulia katika makazi asilia,nikimaanisha kwa Babu na Bibi hukoooooooo.....
Na hii nayo unaikumbuka??? kama huikumbuki basi wewe ni wa kizazi cha Dot com.

3 comments:

  1. oh! kaka Nicky umenikumbusha mbaliiii...halafu unajua ninavyo hapa nyumbani hivyo vihesabio:-)

    ReplyDelete
  2. Dada umevitunza mpaka leo teh teh teh

    ReplyDelete
  3. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete

Maoni yako