Tuesday 10 March 2015

SASA WATEJA WA VODACOM HUDUMA ZA MPESA ZAUNGANISHWA NA KENYA

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza, akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa kutuma na kupokea pesa nchini Kenya kwa njia ya M-PESA. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako