Tuesday 2 June 2009

NDEGE YA AIR FRANCE YASADIKIWA KUANGUKA

Kuna habari kuwa ndege ya AIR FRANCE imeanguka katika bahari ya Atlantiki kati ya Brazil na bara ya Afrika Magharibi!
Ndege hiyo ya Air France ilkuwa na watu 228 iliondoka Rio de Janeiro Jumapili saa 1 jioni(2200 GMT) na ilitegemewa kutua Paris Charles de Gaulle airport Jmatatu saa 5:15 asubuhi(0915 GMT).Ndege hiyo ilipoteza mawsiliano na Radar ya Brazil masaa 3 na nusu hivi baada ya kuruka.


Ndani ya AirBus 330-200 kama iliyoanguka.