Tuesday 2 June 2009

MOTO WATEKETEZA SCARLINK MWANZA

Basi la Scarlink limeungua moto jana asubuhi mkoani Mwanza maeneo ya (Hulumalwa) likitokea Mwanza kwenda Dar. Hakukuwa na maafa wala majeruhi, abiria na wafanyakazi wa basi waliwahi kujisalimisha. Chanzo cha ajali hii bado kujulikana na uchunguzi wa polisi unaendelea


Picha kwa hisani ya Michuzi