Wednesday 3 June 2009

KILIMO NI UTI WA MGONGO WA TANZANIA

Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete akifungua mkutano kuhusu Kilimo katika Hoteli ya Kunduchi Beach, nje kidogo ya jiji la Dar jana. Amezidi kusisitiza kuzingatia kilimo kwani ni nguzo ya uchumi na uhai wa Taifa.
Kaulimbiu yake "KILIMO KWANZA"