Sunday 28 June 2009

LEO NI SIKU YA BWANA, ILA "SALINI KILA WAKATI"


"Waacheni watoto wadogo waje kwangu"

1 comment:

  1. Dah!! Hii imenikumbusha mbaali sana. Bado nina hisia za namna tulivyokuwa tukiongozana siku za ibada kwenda ibadani na nina hakika wengi wanakumbuka siku hizi. Ni taswira zinazorejesha akili miaka ya nyuma na kuonesha kile ambacho tunazidi kukipoteza sasa.
    Ilikuwa raha sana nyakati kama hizi.
    Asante Mkuu kwa taswira hizi

    ReplyDelete

Maoni yako