Monday 8 June 2009

NAHODHA WA MELI

Huyu ni Nahodha wa Boti/Meli YA SEAGULL inayofanya safari zake kati ya Dar na Zanzibar. Kwa mtindo huu wa kuchapa usingizi kazini kwanini meli zisizame???!!!
Mamlaka husika zitupie macho tatizo hili.