Saturday 13 June 2009

BIASHARA NYUMBANI

Maandalizi ya Pombe ya kienyeji huko Moshi (mbege) huanzia kwa manunuzi ya ndizi mbivu hizi ambazo huchemshwa(hupikwa) kiustadi wajuavyo wao n.k. Hapa ni Sokoni Ongoma huko Moshi Vijijini.