Vijana hawa wanatafuta riziki zao kwa kila namna. Ukiangalia vizuri utaona noti ya shilingi 1000,yanini kwa huyu mwanafunzi na toka kwa nani?. Mie sina tafsiri zaidi hapa
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!
No comments:
Post a Comment
Maoni yako