Mwanamuziki toka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Mbilia Bel akicheza muziki na Spika wa Bunge Mhe.Samwel Sitta wakati alipotumbuiza katika viwanja vya bunge mjini Dodoma jana. Mwanamuziki toka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Mbilia Bell akitumbuiza katika viwanja vya bunge mjini Dodoma jana.
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!
No comments:
Post a Comment
Maoni yako