Tuesday 1 September 2015

UZALENDO KWA CHAMA CHAKE NA MGOMBEA WAKE

Mmoja wa wana CCM akifuta vumbi kwenye picha ya Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mhe Mgombea John Magufuli yupo Mbinga mkoani Ruvuma kunadi sera za chama chake cha CCM
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akipunga mkono mara baada ya kuvuka mto Luhuhu akielekea Mbinga mkoani Ruvuma
kwa mbali ni Mabasi Maalum ya Kampeni za Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
Hata wengine huko Dodoma walipanda juu ya miti ili kumwona na kumsikiliza mgombea mwenza wa CCM Mhe.Samia Suluhu Hassan

No comments:

Post a Comment

Maoni yako