Wednesday 16 September 2015

DARAJA LA KIKWETE MTO MALAGARASI KIGOMA

Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Baadhi ya watu wamekuwa wakiikashfu serikali ya CCM kwamba hakuna lolote ililofanya katika kupunguza makali ya maisha kwa wananchi. Je Daraja hili sio kitu kwa wananchi wa Kanda ya Magharibi na watanzania kwa ujumla?

No comments:

Post a Comment

Maoni yako