Friday 11 September 2015

KAMPENI: MAGUFULI-MUSOMA,MAMA SAMIA-BAGAMOYO, LOWASSA-DODOMA, JUMADUNI HAJI-TANGA

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dr. John Pombe Magufuli akiwanadi wagombea ubunge wa jimbo la Bunda mjini Mh Steven Wasira kushoro na Kangi Lugora wa Mwibara kulia
Hapa anasema "CCM kifo cha mende"

No comments:

Post a Comment

Maoni yako