Thursday 3 September 2015

DKT MAGUFULI AKIUNGANA NA WATU WAKE KTK SHUGHULI ZAO

Mgombea Urais wa CCM akicheza pamoja na wanamuziki wa kundi la YAMOTO BAND akiwa katika moja ya mikutano ya kampeni zake huko Mikoa ya Kusini mwa Tanzania.
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli(aka JEMBE-TINGATINGA-BULLDOZZER) akipanda kwenye tingatinga ishara ya kuonesha uchapakazi wake serikalini.
....Akiliwasha tingatinga
Magufuli akiendesha tingatinga linalofanya kazi kwenye barabara inayojengwa kutoka Kijiji cha Kirimasera hadi Matemanga, mkoani Ruvuma.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako