Saturday 5 September 2015

TUSIJISAHAU

Kwasasa mawazo ya wengi yamejikita kwenye uchaguzi mkuu 2015. Wengine wanafika hata kuweka uhasama usio na hoja juu ya wagombea na vyama vyao.Ila tunapaswa kujua kuna maisha baada ya uchaguzi ambapo aloshinda ndo kashinda na maisha lazima yaendelee. Tukitambua hilo tutajua tunaenda kuijenga Tanzania yetu inayojali udugu, basi tuudumishe hata katika kipindi hiki cha kampeni.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako