Thursday 24 September 2015

CCM YAPATA PIGO LINDI. UKAWA YAITEKA

Umati wa Wananchi wa Lindi Mjini, wakiwa katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Pilipili, Mkoani Lindi leo Septemba 23, 2015.
(Picha kwa hisani ya Othman Michuzi)
JIMBO LA MTAMA anakowania Mhe.Nape Nnauye (CCM) mamia ya wanachama CCM wamesalimisha kadi zao UKAWA

No comments:

Post a Comment

Maoni yako