Thursday 10 September 2015

MUFTI MPYA WA TANZANIA SHEIKH. ABUBAKARY ZUBER ACHAGULIWA

BAKWATA iliyokaa leo huko Dodoma imemchagua Sheikh Abubakary Zuber (wa katikati kwenye picha) kuwa Mufti Mkuu wa Tanzania kuiba pengo lililoachwa na Hayati Sheikh Issa bin Simba.
Blog hii inachukua nafasi kumpongeza kwa dhati Mufti Mkuu wa Tanzania na pia kuwapongeza ndugu waislamu wote kwa kupata kiongozi huyu mahiri.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako