Saturday 5 September 2015

KINGWENDU MBIONI KUELEKEA KUITWA "MHESHIMIWA"

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akimtambulisha mgombea ubunge jimbo la Kisarawe, Rashid Mwishehe “Kingwendu” wakati wa mkutano wa kampenzi uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Kisarawe mkoa wa Pwani.
Hapa mgombea Ubunge akimwaga sera zake
Na nyingine ni picha za Tukio

No comments:

Post a Comment

Maoni yako