Thursday 3 September 2015

MAKUBALIANO UJENZI WA DARAJA LA SALENDER

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali na wajumbe kutoka Benki ya Exim ya Korea baada ya kusaini hati ya mkataba wa makubaliano ya mkopo wa Dola za Kimarekani milioni 91.032 ambazo ni sawa na Sh. Bilioni 154.39 za Kitanzania zilizotolewa na Benki ya Exim ya Korea kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Salenda jana jijini Dar es salaam.

Picha chini ni LILIVYOKUWA ZAMANI, LILIVYO SASA, NA LITAKAVYOKUWA

No comments:

Post a Comment

Maoni yako