Tuesday 12 May 2015

UJUMBE KWA JK KUTOKA KWA MARAFIKI WA LOWASSA

Vijana hawa Marafiki wa Mhe. Edward Lowassa walikwea Mlima Kilimanjaro na walipofika kileleni (UHURU PEAK) baada ya siku 5, walipiga picha hii kuonyesha ujumbe huu kwa Mhe.Rais Jakaya Kikwete.
Kundi la Vijana Marafiki wa Lowassa wakiwa njiani ktika safari yao ya kukwea mlima kilimanjaro

No comments:

Post a Comment

Maoni yako