Saturday 9 May 2015

MKUTANO WA 20 WA KIKAO CHA 10 CHA BUNGE KUANZA 12 MEI 2015,

Bunge la Juamhuri ya Muungano wa Tanzania litaanza kikao chao cha Bajeti tar 12 Mei 2015 ila wabunge wote wanatarajiwa kufika Dodoma hapo tar 10 Mei/ Kikao hiki ni cha mwisho kabla ya Bunge kuvunjwa kupisha Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2015

No comments:

Post a Comment

Maoni yako