Saturday 9 May 2015

MHE DAVID CAMEROON ACHAGULIWA TENA KUWA WAZIRI MKUU UINGEREZA

Waziri Mkuu wa Uingereza kupitia chama cha Conservative, amechaguliwa tena kushika nafasi hiyo katika uchaguzi uliofanyika hapo jana. Alishinda kwa kishindo cha kura 331 huku wapinzani wake Ed Milliband (Labour),Nick Clegg (Lib Dem) na Nigel Farage (UKIP) wakitangaza kujiuzulu baada ya kushindwa katika uchaguzi huo.
Mwonekano wa Waziri Mkuu David Cameroon baada ya ushindi

No comments:

Post a Comment

Maoni yako