Uongozi wa TRL unapenda kuwatangazia watumiaji wote wa usafiri wa Treni DAR/KIGOMA/DAR kuwa kuanzia Mei 17, 2015 Treni iendayo Kigoma ikitokea Dar na kurudi itakuwa ikisimama pia katika kituo cha Nguruka. Treni hii ni hii mpya ijulikanayo kama DELUX inayotumia mabehewa mapya yasiyozidi 15.
Vituo au stesheni itaposimama ni pamoja na MOROGORO,KILOSA,DODOMA,MAKUTUPORA,SARANDA,MANYONI,AGHONDI,ITIGI,TABORA,URAMBO,KALIUA,NGURUKA,UVINZA,KIGOMA. na pia ISAKA,SHINYANGA,MALAMPAKA,MWANZA
BASATA Yashukuru DCEA kwa Kurejesha Afya ya Chid Benz
36 minutes ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako