Tuesday 19 May 2015

KARIBU TANZANIA MHE.RAIS NYUSI WA MSUMBIJI

Rais wa Msumbiji mhe. Nyusi yupo nchini tangu jana kwa ziara ya siku 3.
Mhe Raisi Kikwete akimkaribisha mgeni wake alipowasili uwanja wa ndege wa Julius Nyerere DAR
Ngoma ya mganda ikichezwa wakati wa kumkaribisha rais Nyusi. Ngoma hii ni maarufu katika mikoa ya kusini

No comments:

Post a Comment

Maoni yako