Wednesday 13 May 2015

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: BAYERN MUNICH YATOLEWA NA BARCELONA NUSU FAINALI

Timu ya Bayern Munich ya Ujerumani ambayo ilikuwa ikiwania Kombe la UEFA Champions imetolewa leo na wakali wa Barcelona hata baada ya kushinda 3-2. Sasa Barcelona wanasubirili mshindi wa kesho kati ya Real Madrid and Juventus ili kucheza nae katika Finali zitakazopigwa huko Berlin Ujerumani.
Neymar wa Barcelona katika harakati za kuifungia timu yake leo ambapo alifunga mabao yote mawili ya Barcelona

No comments:

Post a Comment

Maoni yako