Thursday 7 May 2015

BAYERN MUNICH WATOLEWA JASHO NA BARCELONA KOMBE LA UEFA

Timu ya Bayern Munich ya huko Ujerumani imefungwa bao 3 kwa bila na Timu ya Barcelona katika mchezo wa nusu fainali. Mabao 2 yalifungwa na mshambuliaji makini Lionel Mess na la tatu lilifungwa na Neymar. Sasa Barcelona watakutana na Juventus katika fainali huko Berlin Ujerumani.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako