Kwa wiki nzima sasa maeneo mengi hasa jijini Dar kumekuwa na mvua ilosababisha adha nyingi za maji kufurika. Ila leo jua limewaka hata ukiona watu wamejikinga kwa mwavuli sio sababu ya mvua bali jua limekuwa kali
BASATA Yashukuru DCEA kwa Kurejesha Afya ya Chid Benz
33 minutes ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako