Monday 4 May 2015

MGOMOWA MADREVA WALETA KIZAAZAA SEKTA YA USAFIRI NCHINI

Leo tena madreva wa vyombo mbalimbali vya abiria wamegoma kusafirisha abiria wakitaka matakwa yao yatekelezwe.
Abiria wengi wakiwemo wanafunzi hasa katika Jiji la Dar es Salaam wamelazimika kutembea kwa miguu umbali mrefu kufika maeneo lengwa

No comments:

Post a Comment

Maoni yako