Saturday 6 September 2014

WEEKEND NJEMA

Najua mapumziko ya mwisho wa juma ndo yanaendelea. Nawatakia wapenzi wote wa Blog hii mapumziko mema. Ila tuwe makini tunavyoitumia weekend yetu. Tuwe karibu na watoto na wanafamilia, tuwe makini tunavyoishi. Tazama picha hizi kama changamoto
Kawaida watoto husoma mambo kwa kutazama au kuangalia wafanyayo wakubwa na kuona nao ni sahihi kufanya hivyo. Sasa hawa kama wamejifunza kunywa pombe wakiwa wadogo hivi, utawaambia nini wakiwa wakubwa? Samaki mkunje angali mbichi
Na huyu sasa sijui ni uchizi au....

No comments:

Post a Comment

Maoni yako