Friday 12 September 2014

OSCAR PISTORIUS APATIKANA NA HATIA YA KUUA BILA KUKUSUDIA

Mahakama ya Afrika Kusini, mwanariadha mlemavu leo imepatikana na hatia ya kumuua bila kukusudia mpenzi wake Reeva Steenkamp usiku wa Valentine Day 2013. Atakuwa nje kwa dhamana hadi hukumu itakapotolewa baadae mwezi Oktoba

No comments:

Post a Comment

Maoni yako