Thursday 4 September 2014

TASWIRA

Mhe,Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha na bibi Sara Obama, Bibi wa Rais wa Marekani Mhe Baraka Obama.
Bibi huyu yupo mbioni kuzindua taasisi yake ya Sara Obama Foundation huko Kogelo,Kenya alikozaliwa Baba wa Mhe Rais Obama.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako