Friday 5 September 2014

AJALI MBAYA YA MABASI YA ABIRIA MUSOMA

Ajali mbaya kuwahi kutokea Musoma ikihusisha basi la Mwanza Coach lililokuwa likitoka msm-mwz na J4 Bus lililokua likitoka mwz-sirari, Pia likihusisha gari dogo aina ya Nissan Murano ambapo wawili waliokuwepo wamefariki pia watu wanaokadiriwa 38 waliokuwa kwenye mabasi wamefariki hadi sasa na kuna uwezekano wa idadi kuongezeka,MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALA PEMA AMINA.
Askari wa usalama eneo la tukio

No comments:

Post a Comment

Maoni yako