Wednesday 10 September 2014

Muendelezo.....TULIKOTOKA NI MBALI

Hapa ni umetumwa kitu dukani unatoka mbio huku ukirudia maneno uloambiwa. Ringi linakimwizwa na kadiri mwendo unavyozidi basi na mlio unabadilika.
Pasi ya Mkaa. Hii siku hizi bado ipo kwa DOBI tu.
Hapa ni mambo ya waliuovaa mashati na waliovua. Mguuni ni peku. Chakula hukumbuki wala nini utaitwa na mama mpaka basi.
Hapa ni unapotaka kuwasiliana na ndugu huko DASALAMA, utaongea kwa sauti weee na kila mtu atasikia Haloooo , hapo ni DASALAMA ee.....

No comments:

Post a Comment

Maoni yako