Sunday 7 September 2014

SARAFU MPYA YA SHILINGI 500

Kurugenzi Huduma za Kibenki kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Boaz (wa kwanza kulia) akiwaeleza waandishi wa habari (Hawapo Pichani) sababu zilizopelekea kutoa toleo jipya la sarafu ya shilingi 500, ambapo noti hiyo ya shilingi 500 inatumika zaidi kwenye manunuzi ya kawaida ya kila siku hivyo hupita kwenye mikono ya watu wengi na kuchakaa haraka,noti hizi hukaa katika mzunguko kwa muda mrefu bila kurejeshwa kwenye mabenki na sarafu hukaa kwenye mzunguko kwa muda mrefu kuliko noti. Katikati ni Mshauri wa Fedha kutoka ofisi hiyo Bw. Hassan Jarufu na Mwisho ni Meneja Msaidizi, Sarafu Bw.Abdul Dola.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako