Saturday 13 September 2014

VIPAJI VINAHITAJI KUPEWA MOYO

Mhe Rais Jakaya Kikwete na Mkurugenzi Mkuu wa World Bank Group Sri Mulyani Indrawati wakimkabidhi cheti cha kutambua kipaji cha mtoto wa miaka 7 Ibrahim Bugalama kwa kuibuka wa Pili katika shindano la Usanii wa watoto hapo jana.
Nae mwigizaji maarufu JB akipongezwa na Raisi Jakaya Kikwete baada ya kutoa mada inayohusu Ajira zenye kuleta Tija nchini Tanzania katika Hotel ya Hyatt Regency zamani Kempinski Kilimanjaro.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako