Thursday 4 September 2014

KLOSE,LAHM NA MERTESACKER WAPEWA TUZO ZA HESHIMA

Hayo yalifanyika jana ambapo timu ya Ujerumani iliyochukua Kombe la Dunia 2014 ilipokuwa na mchezo wa kirafiki na Argentina waliyokutana nayo katika Fainali za kombe la Dunia. Hata hivyo wababe hao walifungwa 4-2 kinara wa mchezo akiwa Di Maria aliyehamia Manchester United siku za karibuni

No comments:

Post a Comment

Maoni yako