Friday 12 September 2014

KATIKA KUDHIBITI AJALI ZA BARABARANI......

YEYOTE ATAKAYEKUTWA ANAONGEA NA SIMU AKIWA ANAENDESHA GARI ATAFUTIWA LESENI YAKE.
Jeshi la Polisi kikosi cha usalama Barabarani kwa kushirikiana na SUMATRA wamefikia uamuzi huu katika kudhibiti ajali nyingi zinazoendelea kutokea hapa nchini. Kwa madreva wa magari makubwa ya mizigo na magari ya abiria, utafiti umeonyesha kuwa wengi wanapatwa na ajali kutokana na uzembe, uchovu, ulevi na tabia ya kuongea na simu huku wakiwa wanaendesha vyombo hivyo.
Picha hii hapa chini ni kielelezo na uzembe
Dreva wa basi hili la Mtei ambaye amebeba abiria, kana kwamba haoni kama mbele kuna lori la mizigo linakuja tena mteremkoni. Lolote laweza kutokea katika hali kama hii.

1 comment:

  1. hayaa yoote inayoongelewa la jeshi la polisi kamwe,haitafanya kazi kama swala zima la rushwa ktk jeshi la polisi halitakomeshwa ruswa ni mama ya haya yoote yanayotokea, rushwa ni kitu kibaya sana inaadhi kila secta

    ReplyDelete

Maoni yako