Friday 11 July 2014

WAZIRI MKUU AWA MFANO UINGEREZA: ASAFIRI KWA TRENI READING-LONDON

Mheshimiwa Mizengo Pinda, Waziri Mkuu wa Tanzania, yupo ziarani nchini Uingereza. Alifanikiwa kukutana na watanzania waishio Reading Berkshire nchini Uingereza. Baada ya hapo akachukua usafiri wa treni ya mwendo kasi kutoka Reading hadi London, mwendo wa zaidi ya saa moja.
Nadhani ni changamoto kwake kwamba na Tanzania yetu twapaswa kuboresha usafiri huo wa treni.
Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda akijiandaa kupanda treni kuanza safari

No comments:

Post a Comment

Maoni yako