Sunday 13 July 2014

VAN PERSIE (Flying Dutchman) AWEKA REKODI KOMBE LA DUNIA

Mchezaji wa Uholanzi ameweka rekodi ya dunia mwaka huu kufuatia goli lake alilofunga akiwa hajagusa ardhi katika mechi yao ya kwanza ya kombe la dunia huko Brazil.Hii imepelekea kutengenezwa kwa sarafu ya kumpongeza na kumbukumbu(commemorative coin).
Van Persie akiwa anaelea wakati akipiga mpira kusababisha goli dhidi ya Hispania
Hizi ni sarafu zilizotengenezwa kunakili taswira hiyo ya van Persie
Hapa ni katika mechi ya mshindi wa tatu dhidi ya Brazili ambapo Van Persie anaonekana kupaa baada ya kufanyiwa faulu na mchezaji Fernandinho wa Brazili

No comments:

Post a Comment

Maoni yako