Sunday 6 July 2014

HONGERENI UHOLANZI. WATINGA NUSU FAINALI KWA PENATI

Timu ya Uholanzi imetinga nusu fainali baada ya kucheza dakika 120 bila kufungana, kisha kupiga mikwaju ya penati ambapo Costarica ilipoteza 2. Uhodari wa Kocha Van Gaal kumbadili mlinga mlango dakika za mwisho ndo umesaidia kuokoa timu kwa penati. Sasa Uholanzi itakutana na Argentina siku ya Jumatano kwa Nusu Fainali.
Golikipa akiokoa penati iliyowapa ushindi Uholanzi

No comments:

Post a Comment

Maoni yako