Mbunge wa Gairo Mhe. Ahmed Shabiby ambaye pia ni mfanyabiashara mkubwa wa mabasi ya Shabiby, anatarajia kuanzisha safari mpya ya mabasi yake ya kisasa kutoka Singida/Dar/Singida. Hali hii imewatia hofu wadau wenzake wa usafirishaji wa abiria maana Mabasi yake yanapendwa sana na wasafiri.
VIP SOBER HOUSE YAZINDULIWA, MSANII DULAYO NDANI YA MJENGO
33 minutes ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako