Saturday 5 July 2014

ARGENTINA WAINGIA NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA

Timu ya Argentina iliyo na mchezaji maarufu Lionel Messi wamefuzu kuingia nusu fainali Kombe la Dunia baada ya kuichapa Ubelgiji 1-0 katika pambano kali lililomalizika hivi punde.
Gonzalo Higuain akipiga shuti la nguvu kuifungia Argentina bao pekee.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako