Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akijaribu moja ya vitanda 267 na magodoro yake alivyotoa kama msaada kwa shule 7 (Chalinze, Moreto,Kiwangwa,Mandera, Talawamda,Lugoba, Kikaro) katika Jimbo lake la Chalinze. Hafla hii ilifanyika katika Shule ya Sekondari Lugoba.
Monday 7 July 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
Maoni yako