Katika kutekeleza ahadi zake kwa wanajimbo lake tangu achaguliwe kuwa Mbuge kushika nafasi ya Marehemu Baba yake, Waziri wa Fedha W.Mjimwa, mbunge huyu ametoa msaada wa bati katika Vijiji vya Usengerendeti na Muhanzi.
URITHI GEOPARK MUSEUM, HISTORIA NA MIAMBA INAPOONGEA
30 minutes ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako