Thursday 10 July 2014

ARGENTINA WAINGIA FAINALI KWA MIKWAJU YA PENATI 4-2

Golikipa Sergio Romero wa Argentina akiokoa moja ya penati zilizopelekea ushindi wao dhidi ya Uholanzi
Sasa Argentina itapambana na Ujerumani siku ya Jumapili 13 Julai saa 4usiku huko Maraccana-Brazili katika FIFA World Cup 2014 Final

No comments:

Post a Comment

Maoni yako