Arafa Mohamed,mke wa Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete ametoa msaada wa vyombo vya ndani na tende kwa familia zinazoishi katika mazingira magumu katika Kata ya Mbwewe kwenye Jimbo la Chalinze.Hii ni katika kutimiza ahadi zake wakati akigombea Ubunge kwa tiketi ya CCM. Mhe Ridhiwani anatarajia kutoa msaada huo kwa familia zaidi ya 600.
Tuige mfano huo ikiwa Mungu katujalia kdg tugawane na wenzetu.
Monday 14 July 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
Maoni yako