Timu ya Ujerumani imeingia Fainali za kombe la Dunia kwa kishindo baada ya kuichapa Timu ya Brazili kunakofanyikia mashindano hayo magoli 7 kwa 1. Mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika Ujerumani ilikuwa mbele kwa mabao 5-0. Bao la Brazili la kufutia machozi lilifungwa na Oscar dakika za nyonyeza muda mfupi kabla ya mpira kumalizika.
Wachezaji wa Ujerumani wakishangilia moja ya magoli yao
"Fainali tumeikosa ndugu yangu...."
Wednesday 9 July 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
Maoni yako